Friday 15 May 2015

ANDRE SCHURRLE AELEZA HISIA ZAKE




Mchezaji wa zamani wa Chelsea Andre Schurrle amesema alipata mshangao kuona ujumbe mfupi wa maandishi kupitia simu kutoka kwa kocha wake wa zamani Jose Mourinho ukisema medali ya ubingwa wa ligi kuu ilikuwa inamsubiri yeye.

Schurrle amejiunga na Wolsburg kwa ya pound million 22 mnamo mwezi February.Katika msimu huu mchezaji huyo amecheza mara 14 tu katika mechi za mwanzoni na mara nyingi alikuwa akitokea benchi.

“Mourinho alinitumiaujumbe kwenye simu kuniarifu kwamba nitapata medali na kunitaka niende katikamechi ya mwisho” alisema mchezaji huyo.“Sikujua kama ningepata medali kwakuwasijacheza sana katika mkondo wa pili wa ligi” aliongeza Schurrle.

No comments:

Post a Comment

COMMENT