Tuesday 28 October 2014

MAKONDE MAZITO YAMUA MWANA NDONDI, ALIYEMCHARAZA AACHA NDONDI


Mwana  dondi wa kike kutoka afrika kusini amega dunia kutokana na uzito wa makonde yaliyomwangukia katika mechi aliyoshiriki wiki mbili zilizopita.
 
Phindle Mwelesa, mwenye umri wa miaka 31, alitangazwa kuwa hali mahututi baada ya mechi dhidi ya Liz Butler, aliyemshinda kwa njia ya knock out.


Mwalase ni mwanaspoti wa tatu kuaga dunia chini ya wiki tatu nchini Afrika kusini. 

Miongonimwa waliofariki ni kipa wa  timu ya taifa hilo ambaye pia alikuwa ni nahodha, hii ni baada ya kupigwa risasi na majambazi alipokuwa katika nyumba ya mpenziwe usiku wa jumapili iliyopita. Naye bingwa wa dunia wa mbio za mita 800, Mbulaeni Mulauzi alifariki katika ajali mbaya ya barabarani siku ya ijumaa.

Kulingana na mitandao ya Afrika kusini Liz Butler amehuzunishwa sana na kifo cha Mwalesa na ameapa kutoshiriki pigano lengine lolote maishani.

No comments:

Post a Comment

COMMENT