Tuesday 28 October 2014

12 WALIOKWAMA LIBERIA KURUDI NCHINI


Wakenya 12 waliokwama katika nchi ya Liberia watarejea nchini usiku tarehe 28 Oktoba. Hii ni kulingana na waziri wa afya nchini.


Hata hivyo Kumi na mbili hao ambao ni watoto wane na watu wazima wanane, hawataruhusiwa kukutana na familia zao kwa zaidi ya masaa sita ili kuchunguzwa na kubainika ikiwa wana virusi vya Ebola.

No comments:

Post a Comment

COMMENT