Baaadhi makundi ya kina mama kutoka kaunti ya taita taveta, yameilaumu serikali ya kaunti hiyo kwa kukawia kuwapa mikopo lichaya kuwaahidi na kuwalaumu kina mama hao kutojihusisha na mikopo kama njia mojawapo ya kukabilian na umaskini unaoshamiri kwa joshi katika eneo hilo.
Kulingana na na kundi moja la akina mama hao ni kuwa
serikali inawahangaisha mno tangu watume maombi
ya mikopo hiyo mwanzoni mwa maka huu ambapo hadi sasa hawajapata mikopo
hiyo
Aidha wameitaka serikali kuanza kutoa mikopo hiyo kwa haraka
ili kuwawezesha kukabiliana na janga la
umaskini.
Haya yanajiri baada ya serikali kuunda kamati ya kuwajibikia
mikopo hiyo hivi majuzi ikiwemo hazina ya datu sawazisha fund ya kaunti sawia
nahazina kutoka kwa serikali kuu ya hazina fund.
Hata hivyo serikali
ya kaunti imekuwa ikiwalaumu kina mama kwa kutijitokeza kwa idadi kubwa
kuomba mikopo ili kuinua maisha yao kiuchumi kwa hofu ya kuogopa kushindwa kulipa
zabuni ya mikopo hiyo.
No comments:
Post a Comment
COMMENT